Mamtoni: Mrembo SZA katuletea hii video mpya ‘Snooze’ itazame hapa

Milard Ayo
Published: Sep 02, 2023 14:52:35 EAT   |  Entertainment

Ni Mrembo kutokea nchini Marekani SZA mwenye rekodi zake mbalimbali na time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake mpya uitwa Snooze. Unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa

Ni Mrembo kutokea nchini Marekani SZA mwenye rekodi zake mbalimbali na time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake mpya uitwa Snooze.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hapa