Mabibi na Mabwana mrembo ‘Phina’ kaachia hii video mpya ‘Sponsor’ itazame hapa

Milard Ayo
Published: Sep 27, 2023 15:09:58 EAT   |  Entertainment

Ni Mwimbaji kutokea Bongo Flevani, ‘Phina’ ambae leo Septemba 27, 2023 ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao Sponsor. Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili akipita kusoma asome mlichomuandikia.

Ni Mwimbaji kutokea Bongo Flevani, ‘Phina’ ambae leo Septemba 27, 2023 ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao Sponsor.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili akipita kusoma asome mlichomuandikia.