Lulu Diva, Khadija Kopa, Mwasiti, Mimi Mars, Linah, Phina wameungana kutuletea hii video mpya

Milard Ayo
Published: Mar 11, 2023 15:10:15 EAT   |  Entertainment

Ni Wasanii wa kike kutokea kwenye Tasnia ya Bongo Flevani, Lulu Diva, Khadija Kopa, Mwasiti, Mimi Mars, Linah, Phina ambapo time hii wametuletea hii video mpya ya ngoma yao ya pamoja iitwayo Anamaremeta. unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wasome mlichowaandikia.

Ni Wasanii wa kike kutokea kwenye Tasnia ya Bongo Flevani, Lulu Diva, Khadija Kopa, Mwasiti, Mimi Mars, Linah, Phina ambapo time hii wametuletea hii video mpya ya ngoma yao ya pamoja iitwayo Anamaremeta.

unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wasome mlichowaandikia.