Peruzi
Live
General
News
Entertainment
Travel
Jobs and Career
Educational
Technology
Business
Tenders
Sports
International
All News
Home
Categories
Topics
App
Settings
Live: Rais Samia awasili nchini Uganda, ziara ya kikazi siku mbili
Milard Ayo
Published: May 10, 2022 12:55:11 EAT
| General
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Mei 10, 2022 amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe nchini Uganda kwa Ziara ya Kiserikali ya siku mbili.
View Original Post on Milard Ayo