Kwa mara ya kwanza TANESCO yaeleza sababu za kukatika Umeme nchini (video+)

Milard Ayo
Published: Sep 27, 2023 19:07:19 EAT   |  News

Ni Septemba 27, 2023 ambapo Shirika la Umeme nchini TANESCO limekutana na vyombo vya habari kueleza sababu ya kukatika kwa Umeme. Kwa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

Ni Septemba 27, 2023 ambapo Shirika la Umeme nchini TANESCO limekutana na vyombo vya habari kueleza sababu ya kukatika kwa Umeme.

Kwa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.