Khaligraph atubu, awaonyooshea mikono wasanii wa Hip Hop wa TZ, asema ‘Msinichukulie vibaya’

Milard Ayo
Published: Aug 27, 2023 18:26:45 EAT   |  Entertainment

Ni Rapper Khaligraph ambae hivi karibu aliingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuachia Diss Track iliyosikika akiwachana wasanii wa HipHop kutokea Tanzania, sasa leo Agosti 27, 2023 amejitokeza na kuongea kile kila kitu tusiyoyajua. Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Khaligraph A-Z

Ni Rapper Khaligraph ambae hivi karibu aliingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuachia Diss Track iliyosikika akiwachana wasanii wa HipHop kutokea Tanzania, sasa leo Agosti 27, 2023 amejitokeza na kuongea kile kila kitu tusiyoyajua.

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Khaligraph A-Z