Katibu wa CCM ahitimisha ziara yake ya siku saba Mkoani Iringa

Milard Ayo
Published: Jun 01, 2023 18:24:00 EAT   |  News

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mqpinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo amehitimisha ziara yake ya siku 7 mkoani Iringa kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika kiwanja cha Mwembetogwa. Katika ziara hiyo yenye lengo la kuhimiza uhai wa Chama pamoja na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, Katibu Mkuu ameambatana na Wajumbe Wawili […]

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mqpinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo amehitimisha ziara yake ya siku 7 mkoani Iringa kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika kiwanja cha Mwembetogwa.

Katika ziara hiyo yenye lengo la kuhimiza uhai wa Chama pamoja na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, Katibu Mkuu ameambatana na Wajumbe Wawili wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambao ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenwzi Ndugu Sophia Mjema pamoja na Katibi wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi Gavu.

.
.
.
.
.
.
.