Kampuni ya Asas yawatakia waislamu wote mfungo mwema wa Ramadan

Milard Ayo
Published: Mar 22, 2023 20:27:56 EAT   |  General

Ikiwa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar kutangazia Waislamu wote kuwa mwezi tayari umeshaanda na kesho Machi 23, 2023 ni sawa na Mwzi 1 Ramadhan ambapo Waislamu wataanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Sasa Mkurugenzi wa kampuni ya inayojishughulisha na uuzaji wa Maziwa nchini, Ahmed Asas ameongea na millardayo.com na Ayo TV na kutuma […]

Ikiwa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar kutangazia Waislamu wote kuwa mwezi tayari umeshaanda na kesho Machi 23, 2023 ni sawa na Mwzi 1 Ramadhan ambapo Waislamu wataanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Sasa Mkurugenzi wa kampuni ya inayojishughulisha na uuzaji wa Maziwa nchini, Ahmed Asas ameongea na millardayo.com na Ayo TV na kutuma salamu zake kuhusu Mwezi Mtukufu.

‘Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru wadau wetu mbalimbali wanaotu support katika unywaji wa Maji kwani ni Afya na kingine ningependa kutumia fursa hii kuwatakia waislamu wote Mfungo mwema wa Ramadhan’- Ahmed Asas

‘Ramadhan ya kwanza inaanza kesho kama ilivyotangazwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar hivyo yatupasa wewe Muislamu mwenzangu kujiandaa na kesho tuianze moja  na kumaliza salama salimu hizo siku thelathini”- Ahmed Asas