Jux, Marioo, Ben Pol, Darassa na Rich Mavoko kuinogesha Kidimbwi Beach Jumapili hii

Milard Ayo
Published: Jan 29, 2022 12:25:12 EAT   |  Entertainment

Ni Wakali kutokea Bongo Flevani Jux, Ben Pol, Rich Mavoko, Darassa na Marioo wanatarajia kuziimba live nyimbo zao na kuzicheza.

Ni Wakali kutokea Bongo Flevani Jux, Ben Pol, Rich Mavoko, Darassa na Marioo wanatarajia kuziimba live nyimbo zao na kuzicheza.

Wakali hao watakutana na mashabiki zao Jumapili hii January 30, 2022 Kidimbwi Beach iliyopo Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa muandaaji wa Tamasha hilo amesema lengo ni kuwakutanisha wasanii hao katika jukwaa moj kuendelea kuupata heshima ya muziki wa Bongo Fleva.

SUPRISE YA DARASSA YATAKA KUMTOA MACHOZI SHO MADJOZI JUKWAANI HUKU AKIWAIMBIA WATANZANIA