Jumatatu kubwa kuliko, Buhle kuinogesha Tips Coco Usiku wa leo, Amapiano live in DAR

Milard Ayo
Published: Feb 20, 2023 15:08:26 EAT   |  Jobs and Career

ama ulikuja Dar es Salaam miaka kumi iliyopita na ukirudi kwasasa basi lazima ukute mabadiliko makubwa yaliyofanywa katika Sekta mbalimbali kuanzia Barabara, Majengo na mengineyo. Ukiacha uboreshwaji uliofanywa kwenye sekta mbalimbali kingine ambacho kimenivutia ambacho huenda utapendezwa nacho. Ni Kwamba Tips wamefanya mapinduzi makubwa na kutoa ajira katika sekta ya viota vinavyowakutanisha watu mbalimbali ukiacha ile […]

ama ulikuja Dar es Salaam miaka kumi iliyopita na ukirudi kwasasa basi lazima ukute mabadiliko makubwa yaliyofanywa katika Sekta mbalimbali kuanzia Barabara, Majengo na mengineyo.

Ukiacha uboreshwaji uliofanywa kwenye sekta mbalimbali kingine ambacho kimenivutia ambacho huenda utapendezwa nacho.

Ni Kwamba Tips wamefanya mapinduzi makubwa na kutoa ajira katika sekta ya viota vinavyowakutanisha watu mbalimbali ukiacha ile Tips Mikocheni  aliyoifungua Mwaka 2017  sasa kwa Mwaka 2022 walitumia Fursa na kufungua chimbo lingine lenye utofauti liitwalo Tips Coco Beach lililopo Oysterbay Dar es Salaam.

.

Tips wanastahili pongezi na wameweza kuwa wa kitofauti na maeneo mengine ya Dar kwa huduma zao pamoja kwa ubunifu walioufanya wa kuamua kuiteka Jumatatu ambayo wengi tumezoea ni siku ya kazi lakini wao wamekuja na kitu cha tofauti.

.

Na leo Feb 20, 2023 Tips Coco wanakuletea  Mrembo kutokea Afrika Kusini aitwae Buhle ambae atainogesha  Tips Coco kwa mashabiki wanaopenda nyimbo zao zilizopata umaaarufu kwa jina la Amapiano.