Joseph Kusaga apewa tuzo hii ya heshima kwenye utoaji wa tuzo za East Africa Youth Awards 2023

Milard Ayo
Published: Aug 27, 2023 07:48:12 EAT   |  Travel

Ni Usiku wa Agosti 26, 2023 ambapo zimefanyika utoaji wa tuzo za East Africa Youth Awards zilizotolewa Mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia. Na Miongoni waliopewa tuzo ya kutambuliwa mchango ama heshima ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga ambae alipewa tuzo ya Examplary Business Leader in Empowering Youths ambapo aliwakilishwa na Issa […]

Ni Usiku wa Agosti 26, 2023 ambapo zimefanyika utoaji wa tuzo za East Africa Youth Awards zilizotolewa Mkoani Arusha katika hoteli ya Gran Melia.

Na Miongoni waliopewa tuzo ya kutambuliwa mchango ama heshima ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga ambae alipewa tuzo ya Examplary Business Leader in Empowering Youths ambapo aliwakilishwa na Issa Kadonga ambae alitoa salamu fupi za Big Joe kwenda kwa vijana wote wa Afrika Mashariki na Ulimwengu mzima.

Na miongoni mwa waliopewa tuzo za heshima ni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Utalii Mohamed Mchengerwa pamoja na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.

Tuzo hizo zimefanyika Gran Melia jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Afrika Mashariki huku zilioneshwa live kupitia @stbongotv kupitia kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish).

Kwenye usiku wa Tuzo za East africa you thawards, Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga aliwakilishwa na Issaya Kandonga ambaye alitoa salamu fupi kutoka Big Joe kwenda kwa vijana wote wa Afrika Mashariki na ulimwengu mzima. Tuzo za East Africa Youth Awards zimefanyika Gran Melia jijini Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Afrika Mashariki huku ikioneshwa LIVE @stbongotv kupitia kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish).
.
.