Infinix Hot 12 na Infinix Hot 12 Play zazinduliwa Tanzania

Milard Ayo
Published: May 10, 2022 13:00:11 EAT   |  General

Kampuni ya mpendwa ya simuza mkononi Infinix, imeshirikiana na kampuni ya mawasilinoTigo kuzindua Infinix HOT 12 na Infinix HOT 12play ikiwani muendelezo wa toleo la series ya Infinix HOT. Series yaHOT tangu kutambulishwa kwake haijawahi kuja naprocessor ya speed ya juu zaidi kuizidi Infinix HOT 12 na hiikuifanya Infinix HOT 12 kuwa toleo muhimu sana kwakampuni ya Infinix na wateja wa simu za Infinix.

Kampuni ya mpendwa ya simuza mkononi Infinix, imeshirikiana na kampuni ya mawasilinoTigo kuzindua Infinix HOT 12 na Infinix HOT 12play ikiwani muendelezo wa toleo la series ya Infinix HOT. Series yaHOT tangu kutambulishwa kwake haijawahi kuja naprocessor ya speed ya juu zaidi kuizidi Infinix HOT 12 na hiikuifanya Infinix HOT 12 kuwa toleo muhimu sana kwakampuni ya Infinix na wateja wa simu za Infinix.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Afisa Uhusiano waInfinix, Bi. Aisha Karupa “Tunafuraha kuzindua Modeli yakwanza ya Infinix kutoka mfululizo wa HOT itakayokuwa nachipset ya G85 ya games, Infinix Hot 12 ni simu bora nanyepesi zaidi kwa upande wa game ambapo mtumiajianaweza kucheza game lake bila kugandaganda na hukuakiendelea kuwasiliana katika mitandao mingine ya kijamiin.k , lakini pia ina ubora wa juu zaidi wa  betri, Infinix HOT 12 ina vifaa vya 5000mAh, chaji ya hali ya juu ya Type -C18W, teknolojia ya kudumu ya betri ya Infinixiliyojitengenezea ambayo hufanya betri ikae na chaji kwamuda mrefu sana, ambapo chaji 5% inaweza kukaa nakutumika kwa hadi masaa 2.6 ”

“Infinix HOT 12 ina mwonekano wa kuvutia na skrini yainchi 6.82” ya 90Hz Pro-Level ya esports kwa ingizo laini la silky-laini na sampuli ya mguso 180Hz inayoipa Infinix HOT 12 kiwango cha mwitikio cha haraka ambacho ni bora kabisakwa games, Infinix HOT 12 sasa inapatikana katika madukayote ya simu nchini Tanzania ikiwa na ofa ya GB78” aliongeza Aisha Karupa.

Naye kwa upande wake Mtaalam wa Vifaa vya Intanetikutoka Tigo Bwn. Blass Abdon amesema,

“Kama sehemu ya mkakati wetu endelevu wa kuimarishaupenyezaji na matumizi ya simu za kisasa za mtandao waTigo 4G nchini, tunaendelea kuungana na Infinix Tanzania ilikuhakikisha wateja wetu na Watanzania kwa ujumla wanapatahuduma iliyo bora hasa kupitia simu janja zinazowezeshwa4G. Leo tumezindua simu mbili za kisasa zaidi sokoni nawateja wetu kote nchini wataweza kutumia mtandao wa Tigo4G na simu hizi za kisasa”.

Abdon pia aliongeza kuwa kuzinduliwa kwa simu hizi katikasoko la Tanzania kutaongeza thamani katika mazingira yabiashara nchini na kuboresha maisha ya Watanzania woteMbali na kuwapa wateja wetu uzoefu wa hali ya juu wawateja kwa bei nafuu kabisa, mfululizo wa Infinix Hot 12 utapunguza mgawanyiko wa kidijitali kwa kuongezamatumizi ya simu janja nchini’.

Kwa mujibu wa Abdon Simu hizi zitapatikana katika madukayote ya Tigo nchini pia zitakuja na bando la data la 78GB BURE kwa mwaka mzima. “