Harmonize amvamia Alikiba kwenye interview na kumkumbatia, ampa vyeo vyake

Milard Ayo
Published: Aug 31, 2023 07:24:40 EAT   |  Entertainment

Ni Usiku wa Agosti 30, 2023 Paje Visiwani Zanzibar Kwenye Tamasha la Kizimkazi hivi ndivyo Msanii @harmonize_tz na @officialalikiba walivyokutana ambapo Harmonize amesikika akisema Mfalme yupo hapa. Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Alikiba kushuka kwenye stage na kufanya Interview na Ripota wa @AyoTV_, Vido Vidox ambapo Harmonize alifika na kukumbatiana na Alikiba.

Ni Usiku wa Agosti 30, 2023 Paje Visiwani Zanzibar Kwenye Tamasha la Kizimkazi hivi ndivyo Msanii @harmonize_tz na @officialalikiba walivyokutana ambapo Harmonize amesikika akisema Mfalme yupo hapa.

Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Alikiba kushuka kwenye stage na kufanya Interview na Ripota wa @AyoTV_, Vido Vidox ambapo Harmonize alifika na kukumbatiana na Alikiba.