Good news kutoka GSM zikufikie popote ulipo, leo nakutembeza Home BOX ushuhudie bidhaa mpya

Milard Ayo
Published: Mar 11, 2023 14:49:49 EAT   |  Business

Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba GSM wanatangaza uzinduzi wa Asante Card zenye mchakato wa kukupatia zawadi za papo hapo. Ukiwa na Asante Card utapata nafasi ya kupata punguzo la asilimia 5%  kila unapofanya manunuzi ya katika madukan ya GSM ikiwemo Splash, Babyshop, Max, Shoexpress, GSMsports. Na pia kila Mwanachama wa Asante Card anauwezo kupokea taarifa maalumu kuhusiana na  Mauzo […]

Good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba GSM wanatangaza uzinduzi wa Asante Card zenye mchakato wa kukupatia zawadi za papo hapo.

Ukiwa na Asante Card utapata nafasi ya kupata punguzo la asilimia 5%  kila unapofanya manunuzi ya katika madukan ya GSM ikiwemo Splash, Babyshop, Max, Shoexpress, GSMsports.

Na pia kila Mwanachama wa Asante Card anauwezo kupokea taarifa maalumu kuhusiana na  Mauzo pamoja na matukio maalumu kabla taarifa hiyo haijafika kwa umma.

Jiandikishe sasa na Asante Card kwenye maduka ya GSM ufurahie huduma zao na punguzo hilo la kibabe.

Na leo Machi11, 2023 millardayo.com imetembelea Home Box iliyopo Msasani Mall tazama bidhaa mpya za kibabe.

.
.

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.