Ghasia nchini Senegal zaua 9 baada ya Ousmane Sonko kupatikana na hatia

Milard Ayo
Published: Jun 02, 2023 08:06:11 EAT   |  News

Ghasia zimezuka siku ya Alhamisi katika maeneo tofauti ya mji mkuu wa Senegal, Dakar, baada ya kiongozi wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko, anayetuhumiwa kwa ubakaji, kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa “ufisadi wa vijana”, hukumu ambayo inahatarisha zaidi kuwnia kwake katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2024. Takriban watu tisa waliuawa nchini Senegal […]

Ghasia zimezuka siku ya Alhamisi katika maeneo tofauti ya mji mkuu wa Senegal, Dakar, baada ya kiongozi wa upinzani nchini Senegal Ousmane Sonko, anayetuhumiwa kwa ubakaji, kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa “ufisadi wa vijana”, hukumu ambayo inahatarisha zaidi kuwnia kwake katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2024.