EP mpya na ya kwanza kwa Joh Makini, isikilize hapa

Milard Ayo
Published: Mar 18, 2023 10:23:54 EAT   |  Entertainment

Ni episode nyingine tena ya Mwamba wa Kaskazini Joh Makini, ni package nyingine mpya yenye collection ya Rapper Joh Makini ambaye tayari ameachia EP yake mpya ya ‘WAVE’ ikiwa na nyimbo sita 6. 1.Joh Makini – Too Much Ft. Damian Soul (Official Audio)   2.Joh Makini – Nyeusi Ft. G Nako (Official Audio) 3.Joh Makini- […]

Ni episode nyingine tena ya Mwamba wa Kaskazini Joh Makini, ni package nyingine mpya yenye collection ya Rapper Joh Makini ambaye tayari ameachia EP yake mpya ya ‘WAVE’ ikiwa na nyimbo sita 6.

 

2.Joh Makini – Nyeusi Ft. G Nako (Official Audio)

3.Joh Makini- Wave

4.Joh Makini – GTH (Official Audio)

5.Joh Makini – Success Ft. Otuck William (Official Audio)

6.Joh Makini- Vikali