DBN Gogo kuinogesha Kidimbwi Beach Jumapili hii 19th Machi DSM

Milard Ayo
Published: Mar 18, 2023 09:25:01 EAT   |  Entertainment

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano. Sasa time hii ni zamu ya wakazi wa Dar es Salaam kupata kile kinachostahili kutoka kwa Dbn Gogo ambae anatarajia kutoa burudani Jumapili hii 19th, 2023. Mrembo huyo atapanda jukwaani […]

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Sasa time hii ni zamu ya wakazi wa Dar es Salaam kupata kile kinachostahili kutoka kwa Dbn Gogo ambae anatarajia kutoa burudani Jumapili hii 19th, 2023.

Mrembo huyo atapanda jukwaani na kuzicheza live nyimbo zao zilizopata umaarufu kwa jina la Amapiano kwa masaa yasiyopungua matatu katika chimbo liitwalo Kidimbwi Beach lililopo Mbezi DSM.

.
.
.