Chino Kidd katuletea hii video mpya ya ‘Gibella’ akiwa na S2kizzy & Mfana Kah gogo (video+)

Milard Ayo
Published: Mar 06, 2023 10:48:21 EAT   |  Entertainment

Ni Mkali kutokea Bad Nation, Chino Kidd ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Gibela akiwa amewashirikisha S2Kizzy na Mfana Kah Gogo. Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichowaandikia.  

Ni Mkali kutokea Bad Nation, Chino Kidd ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake uitwao Gibela akiwa amewashirikisha S2Kizzy na Mfana Kah Gogo.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichowaandikia.