Barnaba ametuletea hii single mpya ‘Nampenda’ (Audio+)

Milard Ayo
Published: Mar 22, 2023 10:23:15 EAT   |  Entertainment

NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Barnaba ambae time hii ametuletea hii single yake mpya iitwayo Nampenda. Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

NI Mkali kutokea Bongo Flevani, Barnaba ambae time hii ametuletea hii single yake mpya iitwayo Nampenda.

Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.