AudioMPYA: Joshua anakualika kusikiliza “Wema wa Mungu”

Msanii wa muziki wa Injili Tanzania Joshua Ngelendo ameachia audio ya wimbo wake mpya wa ‘Wema wa Mungu’ kwenye wimbo huu amemshirikisha Mtumishi Diana Benjamin na anakukaribisha uusikilize kwa kubofya link hapa chini.