Alikiba kukutana na mashabiki zake usiku wa leo Jumamosi Elements Masaki ‘Tonight don’t miss it’

Milard Ayo
Published: Jul 15, 2023 04:33:56 EAT   |  Technology

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii anatarajia kukutana na mashabiki zake watakaofika usiku wa leo Julai 15, 2023 katika kiota kiitwacho Elements BAR iliyopo Dar es Salaam. Mkali huyo atapanda pekee yake bali atasindikizwa na wasanii waliopo katika lebo yake iitwayo King’s Music Records akiwemo K2ga, Vanilla pamoja na Tommy.   View this post on Instagram […]

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii anatarajia kukutana na mashabiki zake watakaofika usiku wa leo Julai 15, 2023 katika kiota kiitwacho Elements BAR iliyopo Dar es Salaam.

Mkali huyo atapanda pekee yake bali atasindikizwa na wasanii waliopo katika lebo yake iitwayo King’s Music Records akiwemo K2ga, Vanilla pamoja na Tommy.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by ELEMENTS (@elementstz)