2wobunnie kutua DAR, kuinogesha Elements Bar Masaki Feb 18 Jumamosi hii

Milard Ayo
Published: Feb 17, 2023 14:12:35 EAT   |  Entertainment

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano. Sasa habari njema ni kwamba wakali hao wenye midundo yao isiyochosha kwenye usikilizwaji wameanza kupata tours nchini tofauti tofauti na usiku wa Feb 18th, 2023 Jumamosi hii Watanzania watashuhudia burudani itakayotolewa […]

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Sasa habari njema ni kwamba wakali hao wenye midundo yao isiyochosha kwenye usikilizwaji wameanza kupata tours nchini tofauti tofauti na usiku wa Feb 18th, 2023 Jumamosi hii Watanzania watashuhudia burudani itakayotolewa na wakali 2wobunnies  ambao watazicheza live nyimbo hizo zao zilizopata umaarufu.

Huku Usiku huo ukishereheshwa na Buhle kutokea South Africa.

.