Renowned International Prophet and founder of Freedom Apostolic Revival International Ministry (FARIM), Prophet Samuel Adebayo Ojo, popularly known as Baba Authority, has extended heartfelt felicitations to celebrated gospel singer, Lady Evangelist Tope Alabi, on her birthday.
DAR ES SALAAM:MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Barnabas Elias, amesema kuwa watu ndio kitu cha msingi zaidi katika dunia ya sasa, akisisitiza umuhimu wa kuishi kwa upendo na amani na kila mtu. The post Barnabasi: Maisha Bila Watu Hayana Thamani first appeared on HabariLeo.
DAR ES SALAAM: Mwanamuziki kutoka nchini Mali, Salif Keita, anatarajiwa kutumbuiza katika toleo la 23 la Tamasha la Sauti za Busara litakalofanyika Februari 5-8, 2026 Zanzibar. Akitambulika kama ‘Sauti ya Dhahabu ya Afrika’ Keita atashiriki kwa mara ya kwanza kwenye tamasha hilo. Muziki wake umejikita katika mila za waganga wa jadi wa Mali ‘griot’ na … The post Mwanamuziki raia wa mali kuongoza Sauti za Busara 2026 first appeared on HabariLeo.
Governor Abdullahi Sule of Nasarawa State has said that former President Muhammadu Buhari’s administration was undermined by sycophants, many of whom have now turned against him since leaving office.
TUZO za Tanzania Music Awards (TMA) zimetangazwa rasmi kufanyika Desemba 13, 2025, huku dirisha la maombi kwa wasanii wanaotaka kushiriki likifunguliwa leo Ijumaa na litafungwa Novemba 14, mwaka huu. The post Tuzo za muziki kitaifa kufanyika Desemba first appeared on HabariLeo.
Iringa inatarajia kushuhudia mwamko mpya wa kiroho Disemba 19 mwaka huu, wakati timu ya The Light Worship Team itakapoandaa tamasha kubwa la kusifu na kuabudu lijulikanalo kama “Maskani Worship Gathering – Ni Shwari”, litakalofanyika katika ukumbi wa Sambala. Tamasha hilo linatarajiwa kuwa zaidi ya tukio la muziki wa injili — ni mwaliko wa kipekee wa … The post Iringa yajiandaa usiku wa miujiza na sauti za mbinguni first appeared on HabariLeo.
MWANAMUZIKI maarufu Evans Ochieng Owino anayefahamika sana kama Prince Indah ametoa wimbo mpya wa kumwomboleza Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga. Kupitia wimbo huo Tribute to RT. Hon Raila Odinga alioutoa saa saba zilizopita, Indah anamsifu sana Bw Odinga huku akimrejelea kama shujaa ambaye ameleta mabadiliko makubwa nchini. “Apenjo, kara iwewa gi ng’awa, dwoka kiwinja Baba (Nauliza, unatuacha na nani Baba, naomba unijibu ikiwa unanisikiza),” Indah anasema katika wimbo huo. Kwa upande mwingine, mwanamuziki huyo mashuhuri anasema kuwa Bw Odinga alileta demokrasia nchini na kupigania haki za wanyonge. “Kata Gen-Z bende yuaka (Hata vijana wa Gen Z wanaomboleza kifo chako).” “Piny yuak. Kata ka Nyasaye otimo dwache, matolit jothurwa (Dunia inaomboleza. Habari hii inauma).” Watu zaidi ya 164,651 wamesikiza wimbo huo. Indah ameonekana mara kadhaa akiwa na Bw Odinga wakifurahia nyimbo za mwanamuziki huyo. Bw Odinga alifariki dunia Jumatano asubuhi Oktoba 15, 2025 huko Koothattukulam, wilayani Ernakulam nchini India, baada ya kupata mshtuko wa moyo wakati anafanya matembezi yake ya kila asubuhi, kulingana na polisi na viongozi wa hospitali. [caption id="attachment_179232" align="alignnone" width="300"] Raila Odinga ambaye aliaga dunia Oktoba 15, 2025. Picha|Maktaba[/caption] Odinga, mwenye umri wa miaka 80, aliangua wakati wa matembezi ya asubuhi ndani ya uwanja wa kituo cha tiba ya Ayurveda, na alikimbizwa Hospitali ya Macho ya Sreedhareeyam Ayurvedic na Kituo cha Utafiti huko Koothattukulam, ambapo alitangazwa kuwa amefariki dunia, msemaji wa hospitali hiyo alisema. Kando na Indah, wanamuziki wengi akiwemo Bahati wametoa nyimbo za kumwomboleza Bw Odinga wakimtaja kama kiongozi mashuhuri na mtetezi wa demokrasia. Katika miaka ya hivi karibuni, Indah ameinuka kwa kiwango kikubwa katika tasnia ya muziki. Alianza kuimba kwenye bendi ya R.O.R iliyokuwa ikimilikiwa na Emma Jalamo kabla ya kuwa msanii huru. Mwaka 2014 alirekodi albamu yake ya kwanza iliyokuwa na nyimbo 6 ambazo ni pamoja na Cinderella, Nyakisumu, Pokna, Uchumi na Ken Soldier. Oktoba 2016, Prince Indah alirekodi albamu ya pili aliyoipa jina ‘Tenda Wema’ aliyozindua rasmi Desemba 23 mwaka huo. Baada ya hapo aliondoka kwenye bendi ya R. O. R na kuunda yake Malaika Ohangla Rhumba – M.O.R.
Rising maskandi singer Zwide is glad his music career is picking up as he lives his wildest dream on stage, a long way from the petrol pumps where his journey began.
Singer Sean Kingston was sentenced Friday to three and a half years in prison for a $1 million fraud scheme in which he used his fame to obtain luxury items without paying.
For Nigerian Afropop singer Nelly Baradi, music has never just been about catchy beats or fleeting fame — it’s about crafting songs that reach deep, linger long, and remind listeners they’re not alone.
The state and defence have agreed on a follow-up date for a pre-trial conference in June next year, with a murder trial for rapper Kiernan AKA Forbes and his celebrity chef friend Tebello Motsoane, scheduled to sit the next month.
BARAZA la Kitaifa la Kudhibiti Milipuko ya Maradhi (NSDCC) linapanga kusambaza kondomu 50,000 wakati wa Kongamano la Ugatuzi la mwaka wa 2025 litakalofanyika mjini Homa Bay kuanza leo. Hatua hii inalenga kupunguza maambukizi ya virusi vya HIV ambavyo bado ni vya juu katika eneo hilo. Mratibu wa NSDCC katika eneo hilo, Bw Stephen Oyugi, alisema kuwa angalau kondomu 10,000 zitawekwa katika maeneo ya kimkakati kila siku wakati wa kongamano hilo. Sehemu ya kwanza ya usambazaji ilifanyika usiku wa Jumapili kwa watu waliokuwa wakihudhuria tamasha la muziki katika Hifadhi ya Kitaifa ya Ruma. Hifadhi hiyo iliandaa toleo la pili la mbio za Roan Antelope Half Marathon siku ya Jumatatu. Hata hivyo, kabla ya mbio hizo, wakazi wa eneo hilo na mashabiki wa muziki wa Luo walishiriki dansi ambapo waliburudishwa na wanamuziki wa Ohangla. Bw Oyugi alisema NSDCC ilishirikiana na idara ya afya ya kaunti kusambaza kondomu kwa waliohudhuria hafla hiyo. “Kile tunakabiliana nacho kwa sasa ni utupaji wa kondomu zilizotumika. Zilisambazwa kwenye maeneo ya wazi na zilitumika katika vichaka. Hili ni changamoto lakini tunapaswa kuzitupa kwa njia nzuri kulinda mazingira,” alisema. Alisema kuwa matumizi ya vichaka kwa shughuli za ngono bado ipo hasa wakati watu wanapokutana katika maeneo ya wazi kama hifadhi hiyo. “Hili lilikuwa tukio la kipekee. Kwa kuwa ni hifadhi na kuna maeneo yenye giza, tulikuta kondomu nyingi zilizotumika, ishara kwamba vichaka vinatumiwa kwa ngono na mazingira yalitoa fursa kwa hilo kutokea,” alisema Bw Oyugi. Kwa mujibu wa NSDCC, kiwango cha maambukizi ya HIV katika Kaunti ya Homa Bay ni asilimia 10.6. Bw Oyugi alieleza kuwa matumizi ya kondomu ni moja ya njia bora za kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV. Alisema taasisi hiyo inanuia kusambaza kondomu wakati wote wa kongamano la ugatuzi. “Tuna akiba ya kutosha na hafla hii imepangwa vizuri kwa upande wa usambazaji wa kondomu,” alisema Bw Oyugi. Baadhi ya maeneo ambapo kondomu zitasambazwa ni pamoja na maeneo ya malazi, ukumbi wa kongamano na sehemu za kimkakati ambapo watu wanaweza kuzipata kwa urahisi. Mnamo Aprili mwaka huu, Gavana wa Makueni, Bw Mutula Kilonzo Junior, alilazimika kuomba msamaha baada ya kutoa kauli kuhusu mienendo ya wagonjwa wa HIV katika Homa Bay. Gavana Kilonzo, ambaye alikuwa akiwatakia safari njema wanamichezo kutoka kaunti yake waliokuwa wakielekea Homa Bay, aliwashauri vijana kutoka Makueni kuwa waangalifu, akisema makosa madogo yanaweza kuwafanya kuambukizwa virusi vya HIV. Vijana hao walikuwa wakihudhuria toleo la 10 la Michezo ya Vijana ya Muungano wa Kaunti za Kenya (KYISA), hafla inayoshirikisha timu kutoka kaunti zote 47. Bw Kilonzo, kwa kusisitiza, aliwaambia vijana wasiharibu mambo wakiwa Homa Bay. Akinukuu wimbo Vuta Pumzi wa Longombas unaozungumzia masuala ya kijamii kama HIV, aliwataka vijana wa Makueni wasijihusishe na tabia zisizofaa wakiwa Homa Bay. “Kama mzazi, ni lazima niseme hili kwa sababu nitakuwa mzazi asiyejali ikiwa sitasema. Homa Bay ni kaunti nzuri lakini wanapenda starehe, tofauti na Makueni,” alisema. Alidokeza kuwa mtindo wa maisha unachangia kuenea kwa virusi vya HIV miongoni mwa wakazi. Kwa mujibu wa gavana huyo, HIV imekuwa kama ugonjwa wa kawaida miongoni mwa wakazi wa Homa Bay. Video ya Gavana Kilonzo akitoa matamshi hayo ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Bw Oyugi alisema unyanyapaa kuhusu HIV ni kikwazo kikubwa katika kupokea huduma za afya. “Iwapo watu wanaweza kushinda unyanyapaa na kufanya mazungumzo kuhusu matibabu kuwa ya kawaida, basi hilo ni jambo la msingi katika kukabiliana na HIV,” alisema Bw. Oyugi. Baadaye Gavana Kilonzo alituma barua ya kuomba msamaha akisema hakuwa na nia ya kudhalilisha au kuwabagua watu wa Homa Bay. “Nilikua nawaonya vijana. Natambua kwamba maneno yangu kuhusu HIV na Ukimwi katika Homa Bay huenda yalieleweka vibaya,” aliandika kwenye barua ya msamaha iliyochapishwa na Gavana wa Homa Bay, Bi Gladys Wanga. Bi Wanga alisema ombi hilo la msamaha lilikubaliwa.
The father of Nigerian Afrobeats superstar Davido, Adedeji Adeleke, and the Governor of Osun State, Ademola Adeleke, were among the dignitaries spotted arriving at the venue of the singer’s lavish white wedding to his wife, Chioma Rowland, in Miami, United States, on Sunday.
Speaking on Arise TV on Sunday, Mike Achimugu, NCAA’s Director of Public Affairs and Consumer Protection, condemned the singer’s alleged disruption of a ValueJet flight from taking off.
Chioma Adeleke, wife of Afrobeats superstar David Adeleke, popularly known as Davido, has opened up about the singer’s consistent support for her ambitions.
Nigerian singer, Tiwatope Omolara Savage, known as Tiwa Savage, has opened up about her deeply personal journey with love, revealing that even at 45, she has never truly felt romantic love except for the bond she shares with her son, Jamil Balogun.
Fast-rising Nigerian artiste Holla milez returns with a bang as he drops his third single of the year, “10 Shot”, a gripping new track that further cements his place as one of the most exciting voices in the new wave of Afrobeats.
ABUJA – Nigerian singer and songwriter Sktonero, born Ezeakudo Tonna Emmanuel, has said his music is a voice for the marginalised and overlooked in society. Speaking during a press briefing in Abuja, Sktonero credited Afrobeats icon Wizkid as a major influence on his artistic journey. “My songs are letters from the heart for those who […]
LAGOS, NIGERIA : MSANII nguli wa Afrobeat kutoka kundi la P-Square, Paul Okoye maarufu kama Rudeboy au King Rudy, ametoa onyo kali kwa wasanii wachanga kuhusu matumizi mabaya ya bangi na sigara kwenye tasnia ya muziki.
DAR-ES-SALAAM : MSANII nyota wa Bongo Fleva, Zuhura Othman Soud maarufu kama Zuchu, ameibua mjadala mkali mitandaoni kufuatia kuachia kwa wimbo wake mpya Amanda, huku akiwajibu vikali mashabiki wanaokosoa mabadiliko ya mwelekeo wake wa kimuziki.
Controversial Nigerian singer Portable has voiced his desire to join the Big Brother Naija reality show, taking a swipe at the organisers for not extending an invitation to him.
DAR ES SALAAM: “Sijui kama mnajua ila najua hamjui kuwa madogo wa siku hizi wamekuwa hawakui watapanga sana safu ila kwangu dafu hawafui, mbio ndefu hizi pub haya mapafu ni ya chui,” Huu ni mstari unaopatikana kwenye wimbo wa Sinaga Swaga wa Young Killer ‘Msodoki’ ‘verse’ ya kwanza. Kwa mujibu wa utafiti wa kituo cha…
By Ayo Onikoyi Award-winning singer and songwriter Wizard Chan has announced the release date for his highly anticipated debut album, which he calls ‘Healers Chapel’. In an ecosystem where message is sacrificed for pleasure and depth is abandoned for glitz, Wizard Chan’s music stands tall as a distinctive offering that showcases the sonic richness and […]
Grammy-winning singer Burna Boy delivered a show-stopping performance at the England Lionesses' Euro 2025 victory parade held at Buckingham Palace during the week.
Legendary Nigerian singer Innocent "2Baba" Idibia has set tongues wagging after videos and photos from his surprise traditional wedding to his new partner, Natasha Osawaru, surfaced online.
GEITA : MWANAMUZIKI Mkongwe nchini aliyewahi kutamba na kibao cha 'Wanawake na Maendeleo', Vicky Kamata ameshika nafasi ya nne kati ya wagombea nane wa nafasi mbili za ubunge wa viti maalum mkoa wa Geita.
Grammy-winning Nigerian singer Burna Boy delivered a show-stopping performance at the England Lionesses' UEFA Euro 2025 victory parade held at Buckingham Palace on July 29, 2025.
Two songwriters who worked on Tyla’s biggest hit, Water, are suing the singer and producer Sammy SoSo (real name Samuel Awuku) over a royalties dispute.
Charles Oputa, the veteran singer and activist widely known as Charly Boy, has lashed out at the Bariga Local Council Development Area (LCDA) for removing his name from a popular bus stop and replacing it with that of music star Olamide.
By Ayo Onikoyi Afrobeats artist Akinsanya Olakunle Hammed, also popularly known as Spice Boy, has opened up about past experiences and addressed recent criticism regarding his political stance in a recent chat with Potpourri. Spice Boy clarified his position on publicly supporting APC and President Bola Ahmed Tinubu, stating that it is a matter of […]
Nollywood actress Nancy Isime has candidly shared the challenges she faced during the early days of her career and the crucial support she received from singer Yemi Alade.
The Bariga Local Council Development Area (LCDA) in Lagos State has officially renamed Charly Boy Bus Stop to Baddo Bus Stop, in recognition of popular rapper Olamide Adedeji, also known as Baddo, as part of a broader street renaming exercise to honour local and national icons.
By Benjamin Njoku Renowned Nigerian gospel singer Moses Bliss recently kicked off his “Expression World Tour” with a powerful performance in Paris, France, at Cité Royale. The tour, inspired by his recent album “The Expression”, features collaborations with notable artists like Sunmisola Agbebi, Nathaniel Bassey, and Chandler Moore. After the successful Paris concert, Moses Bliss […]
Britain’s Ozzy Osbourne, who died Tuesday at the age of 76, was a pioneer of heavy metal music as lead singer of Black Sabbath, producing songs with a powerful and often sinister mix of distortion and dark lyrics.
UAMUZI wa Halmashauri Wilaya ya Kinondoni wa kufunga baa na klabu za usiku tano kwa kosa la kupiga muziki kupita kipimo kilichowekwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), ni hatua muhimu inayostahili pongezi. Hii ni ishara ya serikali na mamlaka za mitaa kujitahidi kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa njia ya…
Five men linked to the murders of well-known rapper Kiernan AKA Forbes and his celebrity chef friend Tebello Tibz Motsoane will appear in the Durban high court for pretrial proceedings on Thursday.
While Swahili-speaking music is experiencing a growing regional influence, especially through Bongo Flava or Afro-fusional fusions, artists from Central Africa are increasingly interested in it.
MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili anayeishi nchini Canada, Jonathan Budju, anatarajia kuachia rasmi albamu yake fupi (EP) iitwayo Ebenezer mnamo Julai 25, 2025. Akizungumza na HabariLEO, Budju amesema kuwa tayari amefanya hafla maalum ya kusikiliza (listening party) ya EP hiyo nyumbani kwake nchini Canada, ambapo watu wachache waliopata nafasi ya kuisikiliza wameipokea kwa shangwe…
With South African film and television finally receiving long-overdue global recognition, seasoned actor and singer, KB Motsilanyane, believes it’s not just a moment – it’s a movement.