i. Kuendesha mashauri mepesi mahakamani;
ii.Kuendesha kesi za Rufaa Mahakama Kuu;
iii.Kutoa ushauri wa kisheria kwa serikali chini ya usimamizi wa Mawakili Waandamizi;
iv.Kushughulikia kesi za vizazi, vifo, ndoa na kesi zinazotokana na mirathi Mahakamani;
v.Kusimamia utayarishaji wa takwimu zinazohusu ndoa, talaka, mabadiliko na mabatilisho ya ndoa;
vi.Kutayarisha maandishi juu ya Sheria ambazo Serikali/Tume ya Kurekebisha Sheria inataka zifanyiwe utafiti na kurekebishwa;
vii.Kufanya utafiti wa Sheria; na
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sheria (LL.B) kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na kumaliza vizuri mafunzo ya uwakili ya mwaka mmoja katka shule ya sheria ya Tanzania (Law School of Tanzania)
TGS.E