From: 2023-03-16 to: 2023-03-29
( )
TABIBU/TABIBU WA MENO DARAJA LA II - 6 POST
Ministry Of Health (MOH)
Duties & Responsibilities

i    Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi;
ii    Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida;
iii    Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya  
      upasuaji mdogo;
iv    Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi;
v    Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya 
      za Mfuko wa Afya ya Jamii;
vi    Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma;
vii    Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji; na
viii    Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Stashahada ya Utabibu/Utabibu Meno ya muda wa miaka mitatu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGHS B