From: 2023-04-21 to: 2023-05-04
( )
MWANDISHI WA TAARIFA RASMI ZA BUNGE DARAJA LA II - 10 POST
Parliament of Tanzania
Duties & Responsibilities

i)     Kuandika majadiliano ya vikao vya Kamati na Bunge yaliyorekodiwa katika sauti;

ii)    Kuandika na kuhakiki michango ya maandishi ya Wabunge;

iii)   Kufanya uhariri wa awali wa nakala za majadiliano kabla ya kuziwasilisha kwa Wabunge husika;

iv)   Kuingiza masahihisho yaliyofanywa na Wabunge katika nakala za awali za Taarifa Rasmi za Bunge;

v)    Kuhifadhi nakala tepe za awali za majadiliano ya Vikao vya Kamati za Bunge; na

vi)   Kufanya kazi nyingine ya kiofisi atakayopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

Qualifications

Mwombaji awe na Shahada kutoka Chuo Kikuu au Taasisi ya Elimu ya Juu inayotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo:-

·         Utawala na Uhazili (Administration and Secretarial);

·         Isimu ya Lugha (Linguistics).

Remuneration

PSS D