i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri
ii. Kupokeawageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
iv Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
v. Kupokea majalada na kusambaza kwa maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
vi.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
vii Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi na
vi. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Kuajiriwa wenye kuhitimu kidato cha nne au sita mwenye Stashahada ya uhazili (diploma) au NTA Level 6. Awe amefaulunsomo la hatimkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika moja.
TGS.C