i. Kuandaa vitanda;
ii. Kuhakikisha usafi wa nguo (lines), mapazia na mazulia; na
iii.Kusimamia utunzaji wa bustani na ukataji majani.
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV au VI wenye Stashahada ya Home Economics au sifa inayolingana na hiyo kutoka kwenye Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
Ngazi ya Mshahara TGS C