From: 2023-04-19 to: 2023-04-25
( )
MTUNZA BUSTANI DARAJA LA II - (GARDNER II) - 3 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kupanda mboga, matunda, n.k. katika bustani;

ii.Kupalilia mazao katika bustani;

iii.Kupanda maua katika maeneo yanayohusika;

iv.Kupanda na kukata majani na kumwagilia maji; na

v.Kufanya kazi zingine zitakazoelekezwa na Viongozi wa Kitengo chao.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Cheti katika fani ya utunzaji bustani za maua, mboga na upandaji majani kutoka chuo cha Maendeleo ya Wananchi, VETA, au JKT au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali. 

 

Remuneration

TGOS.A