i. Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi;
ii. Kuhakiki kumbukumbu za utafiti n kuziingiza kwenye kompyuta; na
iii. Kufanya kazi nyingine kadiri atakavyoelekezwa na Msimamizi wa kazi.
· Kuajiriwa wenye Shahada/Stahahada ya juu katika fani ya “Land Management and Valuation” kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha Ardhi na Usanifu Majengo (UCLAS) au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali katika fani za Usimamizi Ardhi na Uthamini au
· Kuajiriwa wenye cheti cha NCPS katika fani ya Usimamizi Ardhi na Uthamini
TGS E