From: 2023-04-21 to: 2023-05-04
( )
MTEKNOLOJIA MAABARA DARAJA LA II - 1 POST
Parliament of Tanzania
Duties & Responsibilities

(i)Kupima sampuli zinazoletwa Maabara;

(ii)Kuhifadhi sampuli zinazotakiwa kufanyiwa uchunguzi au kupelekwa Maabara za ngazi za juu;

(iii)Kufanya kazi za ukaguzi wa Maabara, vitendanishi, vifaa, kemikali na hifadhi ya kemikali;

(iv)Kuweka kumbukumbu za Maabara ambazo zimepatikana wakati wa uchunguzi;

(v)Kufundisha Watumishi walio chini yake; na 

(vi)Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi. 

Qualifications

Waombaji wawe na Stashahada katika fani ya Maabara ya Afya kutoka Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali na ambavyo vimesajiliwa na Mabaraza pale inapohusika. 

 

Remuneration

TGHS B