From: 2023-03-16 to: 2023-03-29
( )
MTAKWIMU DARAJA LA II - 3 POST
Ministry Of Health (MOH)
Duties & Responsibilities

i.    Kubuni na kuendeleza mfumo wa Kitaifa wa kukusanya na kuratibu takwimu;
ii.    Kutengeneza utaratibu wa kukusanya takwimu pamoja na ule wa kuchukua takwimu za mifano/vielelezo “sampling”; na
iii.    Kukusanya, kuchambua na kuwasilisha takwimu ngazi za juu.

Qualifications

Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza katika fani ya Takwimu au Hisabati au sifa zinazolingana na hizo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia “information communication Technology’ (ICT).

Remuneration

TGS D