i)Kuandikisha wasomaji;
ii)Kupanga vitabu katika rafu (Shelves);
iii)Kuazimisha na kupokea vitabu vinavyoazimwa;
iv)Kukarabati vitabu vilivyochakaa; na
v)Kufanya kazi nyingine ya kiofisi atakayopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Mwombaji awe na Cheti cha mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne ambaye amefaulu mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba (National Library Assistants Certificate Course) yanayotolewa na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye Cheti kinacholinga na hicho.
PSS B