i)Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji;
ii)Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka;
iii)Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi;
iv)Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu;
v)Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili;
vi)Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
vii)Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Mwombaji awe amehitimu Kidato cha Nne au cha Sita mwenye Cheti/Astashahada cha Utunzaji Kumbukumbu kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
PSS B