From: 2023-03-14 to: 2023-03-27
( )
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II - 1 POST
Parliament of Tanzania
Duties & Responsibilities

i)     Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji;

ii)    Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka;

iii)   Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi;

iv)   Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu;

v)    Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili;

vi)   Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.

vii)  Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

 

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha utunzaji kumbukumbu.

Remuneration

PSS B