From: 2023-09-04 to: 2023-09-11
( )
MSAIDIZI WA HESABU DARAJA LA II (ACCOUNTS ASSISTANT II) - 36 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kuandika na kutunza “Regester”  zinazohusu shughuli za uhasibu;

ii.Kutunza kumbukumbu za hesabu;

iii.Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu benki; na

iv.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti  cha Astashahada ya Uhasibu kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali au cheti cha ATEC I kinachotolewa na NBAA au sifa nyingine zinazolingana na hizo zinazotambulika na NBAA.

 

 

Remuneration

TGS B