From: 2023-02-13 to: 2023-02-19
( )
MPISHI II - 28 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.  Kupika vyakula vya aina mbalimbali;

ii. Kutayarisha orodha ya vyakula vya mlo kamili (Balanced Diet);

iii. Kuhakikisha vyombo vya kupikia vyakula vinakuwa safi; na

iv. Kufanya kazi nyingine atakazoagizwa na Msimamizi wa kazi.

 

 

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya cheti yasiyopungua mwaka mmoja

katika fani ya “Food Production” kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGS C