From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
MPIMA ARDHI DARAJA LA II (LAND SURVEYOR II) - 4 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenye kompyuta.

ii. Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa     kwenye komputa.

iii.Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment);

iv.Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges

v. Mpima Ardhi katika Serikali za Mitaa

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu/Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisi yoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS).

Remuneration

TGS.E