From: 2022-12-22 to: 2023-01-04
( )
MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II (UMEME) - 15 POST
Ministry of Education, Science and Technology
Duties & Responsibilities

i.    Kufundisha masomo ya fani ya Umeme katika vyuo;
ii.    Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
iii.   Kusimamia masomo ya vitendo;
iv.    Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
v.    Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
vi.   Kuandaa muhtasari wa masomo;
vii.   Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
viii.  Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
ix.    Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
x.    Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.
 

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani ya umeme

Remuneration

TGS C