From: 2023-03-20 to: 2023-04-02
( )
MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II - 6 POST
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
Duties & Responsibilities

i.Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mkadiriaji Ujenzi aliyesajiliwa na bodi ya usajili husika kama “Proffesional Quantity Surveyor”;

ii.Kutoa ushauri kuhusu makadirio ya gharama za awali za ujenzi.

iii.Kuandaa Mipango na Makisio ya gharama za ujenzi na zabuni (Bill of Quantity.

iv.Kukagua na kutathmini kazi inayoendelea kwa ajili ya malipo katika hatua mbalimbali za mradi

v.Kuandaa na kutathmini gharama za kazi za ziada zinapotokea (Evaluation of Variations) 

vi.Kuandaa Mahitaji ya Miradi ya Ujenzi (Project resources) na 

vii.Kazi nyingine utakazopangiwa na Mwajiri wako

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada / Stashahada ya Juu kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani zifuatazo: Construction Management, Building Surveyor, Building Economics, Quantity Surveying na awe amesajiliwa na Bodi inayosimamia Taaluma hii ya Ukadiriaji Ujenzi.(AQRB) 

Remuneration

MKADIRIAJI MAJENZI DARAJA LA II