i.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu Nishati ya Umeme pamoja na bei za vifaa vya umeme ndani na nje ya nchi;
ii.Kuhakikisha uthamani sahihi wa kazi ili kufikia thamani ya fedha;
iii.Kupanga, Kubuni na Kutengeneza Mitambo chini ya Mhandisi aliyesajiliwa (Professional Engineer);
iv.Kufanya Usanifu na kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Ufundi na Umeme (Electrical and Mechanical Projects);
v.Kufanya Ukaguzi na matengenezo ya kawaida na matengenezo kinga ya vifaa vya kazi, Ufundi na Umeme;
vi.Kusanifu, kuandaa gharama na kufanya matengenezo ya miradi ya Nishati ya Umeme na Ufundi (Electrical and Mechanical Projects);
vii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi; na
viii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Awe na Elimu ya Kidato cha nne (Form IV) au cha Sita (Form VI) aliyefuzu mafunzo ya Shahada ya kwanza ya Uhandisi katika fani ya Umeme wa Umeme (Electrical-Power) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, wenye ujuzi wa kutumia kompyuta na waliosajiliwa na Bodi ya Wahandisi kama Graduate Engineer (GE).
TGS E1