i) Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi kama “Professional Engineer; ili kupata uzoefu unaotakiwa;
ii) Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha Mhandisi kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi;
iii) Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu ubora na bei za Mitambo na vifaa vya umeme ndani na nje ya nchi;
iv) Kupitia mapendekezo ya Miradi (project proposals) mbalimbali ya Ufundi na Umeme yanayowasilishwa; na
v) Kutekeleza majukumu mengine ya kiofisi atakayopangiwa na Msimamizi wake wa Kazi.
Mwombaji awe na Shahada/Stashahada ya Juu ya Uhandisi wa Umeme (Electrical Engineering) kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
PSS E