From: 2023-07-11 to: 2023-07-18
( )
MHANDISI- MAGARI DARAJA LA II -( AUTOMOBILE ENGINEER II) - 2 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na bodi ya wahandisi kama “Professional Engineer” ili kupata uzoefu unaotakiwa.

 

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani zinazomhusu ili kumwezesha Mhandisi kupata sifa za kutosha kusajiriwa na Bodi ya usajili wa Wahandisi.

 

iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu magari na Mitambo mbalimbali, bei za magari, mitambo, na vifaa vya umeme, ndani na Nje ya Nchi.

 

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (Project proposals) mbalimbali ya Ufundi yanayowasilishwa Wizarani.

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi wa Magari Automobile Engineers kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

 

Remuneration

TGS.E