From: 2023-07-12 to: 2023-07-25
( )
MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO ENGINEER) - 2 POST
MDAs & LGAs
Duties & Responsibilities

i.Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana za kilimo.

ii.Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora ya zana.

iii.Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji.

iv.Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya umwagiliaji.

v.Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafunindisha wakulima uendeshaji wa skimu za umwagiliaji.

vi.Kukusanya takwimu za miradi ya umwagiliaji.

vii.Kushiriki kuratibu na kutoa huduma za umwagiliaji kwa vikundi vya umwagiliaji pamoja na matumizi ya maji.

viii.Kuandaa mafunzo/maonyesho ya matumizi ya za za kilimo.

ix.Kufuatilia program za mafunzo ya wanyama kazi, mafundi wa matrekta na wakulima jinsi ya matumizi ya wanyama na matrekta.

x.Kuwafundisha wakulima ujenzi wa vihengo bora.

xi.Kushughulikia ubora wa zana na kuwashauri waagizaji na watengenezaji ipasavyo.

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (Bachelor Degree) ya uhandisi yenye mwelekeo mkubwa katika fani ya Kilimo cha umwagiliaji au cha Zana za Kilimo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGS.E