From: 2023-03-20 to: 2023-04-02
( )
MHANDISI II- (UJENZI) - 5 POST
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
Duties & Responsibilities

i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;

ii.Kufanya kazi kwa vitendo katika fani ya umeme ili kumuwezesha kupata sifa za kutosha kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi;

iii.Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu vifaa vya umeme na mitambo mbalimbali ndani na nje ya nchi; 

iv.Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals) mbalimbali ya ufundi na umeme yanayowasilishwa Wizarani; na

v.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

 

 

 

 

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/ 

Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi (Bachelor of Science in Civil Engeneering ) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wawe wamesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi(ERB)

 

Remuneration

MHANDISI II- (UJENZI)