From: 2022-03-25 to: 2022-04-07
(WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES )
MHAIDROJIA II (HYDROLOGIST II) - 6 POST
Ministry of Water and Irrigation
Duties & Responsibilities

i.kusimamia ujenzi na usimamizi wa ukarabati wa vituo vya hali ya hewa, vituo vya upimaji uwingi wa maji kwenye mitoni mabwawa na maziwa (discharge measurements);

ii.Uchukuaji wa sampuli za mchanga unaosafirishwa kwenye mito (sediment sampling) na kuzitafsiri;

 

ii.kufanya uhakiki wa takwimu (validation activities) wakati wa kuchakata takwimu.

 

iii.kuratibu ukusanyaji wa takwimu/taarifa zote za kihaidrolojia kutoka madakio na vidakio vya maji (catchments/sub catchments) na kuhakikisha takwimu zote kutoka kila kituo zinatumwa makao makuu ya bonde kila mwezi na tarehe 15 ya kila mwezi unaofuata zinawasilishwa wizarani;

iv.Kufanya uchunguzi wa awali wa shughuli zinazohusu vituo vya haidrolojia;

v.Kutengeneza ramani za vidaka maji katika mabonde ya maji kwa kutumia njia ya geographical information system;

vi.Kubadili takwimu za kina (water leves) cha maji mtoni kuwa wingi wa maji ya mito (discharge);

vii.Kufanya ulinganifu wa mvua inayonyesha na mtiririko wa maji ya mvua (runoff) kwa kila siku na kwa kila siku kumi(10);

viii.Kuchakata takwimu na kuona mpishano wa muda mrefu (shift behaviooron long term basis kwa kutumia duble mass curv);

ix.Kuhakiki utunzaji mzuri wa kanzi data ya takwimu kulingana na miongozo na usimamizi wa rasilimali maji;

x.Kukagua vifaa vya kazi za kihaidrolojia ofisini, stoo na katika vituo vya kihaidrolojia.

xi.Kushiriki kuchukua, kuchambua na kutafsiri sampuli za mchanga unaosafirishwa kwenye mito;

xii.Kukusanya, kuchambua na kutafsiri takwimu za maji kutoka vituo vya hali ya hewa na vya upimaji wa uwingi wa maji kwenye mito, mabwawa na maziwa;

xiii.Kutayarisha na kurekebisha taarifa za kihaidrolojia zinazohitajika mara kwa mara katika ofisi za takwimu ya Taifa (NBS);

xiv.Kushiriki katika kazi za usalama wa mabwawa;

xv.Kushiriki kwenye kubainisha maeneo yanayoathiriwa na mafuriko;

xvi.Kushiriki katika kutayarisha kielelezo cha mtiririko wa maji (rating curve equitation); na

iv.kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

 

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Haidrilojia au Uhandisi wa Rasilimali za Maji kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali. Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Remuneration

TGS D