(i) Kutoa tiba kwa kuzoeza viungo/kwa vitendo;
(ii) Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa;
(iii) Kutunza vifaa vya kutolea tiba;
(iv) Kutoa elimu ya afya kwa jamii kuhusu kutambua dalili na kuzuia ulemavu;
(v) Kumchunguza mgonjwa ili kutambua na kupanga tiba kwa vitendo;
(vi) Kukusanya na kutunza takwimu na taarifa za mgonjwa; na
(vii) Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Mwombaji awe amehitimu Kidato cha Nne/Sita mwenye Stashahada katika fani ya Fiziotherapia/Mtoa tiba kwa Vitendo kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
TGHS B