i)Kuhudumia Kamati mbalimbali za Bunge (Kamati za Mahesabu ya Serikali, Kamati ya Uchumi na Fedha, Kamati ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma);
ii)Kukusanya takwimu na taarifa mbalimbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na kijamii;
iii)Kufanya tafiti juu ya masuala mbalimbali yatokanayo na utekelezaji wa sera za uchumi jumla;
iv)Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya uchumi jumla;
v)Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika;
vi)Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitajika katika kubainisha vipaumbele vya ustawi na maendeleo ya jamii;
vii)Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau;
viii)Kuchambua na kutafsiri takwimu na taarifa mbalimbali;
ix)Kukusanya taarifa zinazohusu ushirikiano wa kimataifa, biashara ya kimataifa, misaada na madeni ya nchi;
x)Kufanya uchambuzi wa mienendo ya ushirikiano kimataifa, biashara ya nje, misaada na madeni;
xi)Kuchambua mwenendo wa sekta binafsi nchini; na
xii)Kutekeleza majukumu mengine ya kiofisi atakayopangiwa na Msimamizi wake wa Kazi.
•Uchumi (Economics);
•Takwimu (Statistics);
•Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc. Agriculture Economics & Agribusiness).
PSS D'