i.Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa sera ya vijana.
ii.Kuratibu shughuli za mikopo/mifuko ya vijana.
iii.Kuhamasisha vijana ili kufufua moyo wa kujitolea nchini.
iv.Kupanga na kuendesha mafunzo yanayohusu stadi za maisha,stadi za kazi na afya ya vijana.
v.Kukusanya takwimu mbalimbali zinazohusu vijana.
vi.Kuratibu shughuli mbalimbali za NGOs zinazoshughulikia masuala ya vijana.
vii.Kuanzisha vituo vya ushauri nasaha, ajira kwa vijana na elimu ya familia kwa kushirikiana na vyama visivyo vya Serikali (NGO).
viii.Kuandaa na kuboresha malezi ya vijana.
ix.Kuwahamasisha Waajiri na Wafadhili mbalimbali wachangie mfuko wa mikopo nafuu kwa Vijana katika maeneo mbalimbali.
x.Kukuza na kuendeleza vipaji mbalimbali walivyonavyo vijana ili kuwawezesha kujiajiri na
xi.Kuandaa mipango wa kuwahamasisha vijana ili kuanzisha miradi midogomidogo ya kuajiri.
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Maendeleo ya Vijana, Maeneleo ya jamii, Ustawi wa jamii kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
TGS.D