From: 2022-03-25 to: 2022-04-07
(WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES )
FUNDI SANIFU MAJI MSAIDIZI (ASSISTANT WATER TECHNICIAN II –CIVIL - 1 POST
Ministry of Water and Irrigation
Duties & Responsibilities

i.Kufunga Pampu na injini za aina mbalimbali za maji na usafi wa mazingira;

ii.Kufunga Pampu na injini za aina mbalimbali za maji na usafi wa mazingira kwa ajili ya kukidhi uendeshaji nadhifu endelevu na kuzuia uharibifu;

iii.Kuhudumia uendeshaji wa pampu na injini za miradi ya maji;

iv.Kufanya matengenezo ya kawaida ya vipindi kwa ajili ya kuzuia uharibifu wa pampu na injini kwa kufuata muongozo ya uendeshaji na matengenezo inapohitajika kwa dharura;

v.Kutayarisha, kukusanya kutunza na kuziwasilisha takwimu za uendeshaji na matengenezo ya pampu na injini za miradi ya maji;

vi.Kufanya kazi za ujenzi wa miundo mbinu ya maji ikiwemo ufungaji wa bomba na 

vii.Kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa na mkuu wake wa kazi

 

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliohudhuria na kufaulu mafunzo ya mwaka mmoja katika fani ya Maji kutoka katika Chuo cha Maji au Chuo chochote kinachotambuliwa na serikali ambao wana cheti cha Ufundi Daraja la III.

 

Remuneration

TGS A